Discussion about this post

User's avatar
Mmerikani (Swahili & English)'s avatar

Pole mno, Tanzania. Nimetembelea nchi yako mara mbili. Tulitua Arusha huko Uwanaja wa Ndege wa Kilimanjaro. Bibi Rais Samia Suluhu Hassan, unafanya nini? Kumbuka mizizi yako. Tanzania ni nyota ya Afrika. Unakumbuka? Baba wa Taifa angesikitika sana. Acha vurunga za polisi. Waache watu watoe maoni yao kwa maandamano. Ni haki za watu kuandamana. Serikali inapaswa kuhudumu watu wake. Tanzania siyo dola ya polisi. Tuanze tena.

No posts

Ready for more?